Idara ya Uzalishaji
Idara ya uzalishaji ina maeneo mawili(Production lines) ambayo ni eneo la uzalishaji dawa aina ya penicillin(Penicillin line) na eneo la uzalishaji wa dawa ambazo sio penicillin(Non Penicillin line).
ENEO LA DAWA ZA PENICILLIN
Dawa aina tatu(3) zinazalishwa katika eneo hili,ambazo ni Ampiclox (Dioamplox), Amoxycillin (Diomox) na Pen V (Diopen)
ENEO LA DAWA ZA DAWA AMBAZO SIO PENICILLIN
Dawa aina saba (7) zinazalishwa katika eneo hili, ambazo ni Erythromycin (Diomycin), Paracetamol (Diodol), Griseofluvin (Diofluvin), Metronidazole (Diogyl), Co-trimoxazole (Diotrim), Paracetamol + Diclofenac (Paradiclo) na Ciprofloxacin (Diocipro).