Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Tunafanya kazi siku tano za wiki
Lipa kwa benki
Kwa kujaza form maalumu ambayo ipo kwenye tovuti yetu.
Kiwanda chetu kipo Keko Mwanga A katika Mtaa wa Napinduzi tumepakana na makao makuu ya MSD.