Kanusho

KANUSHO

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Kiwanda cha Dawa Keko haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.

Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Kiwanda cha Dawa Keko haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa Serikalini.

Kiwanda cha Dawa Keko inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;

-Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na

-Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Kiwanda cha Dawa Keko, tafadhali wasiliana nasi.