DIOAMPLOX®
Vidonge vina rangi ya zambarau na nyeusi na picha ya mama na mtoto kwenye rangi nyeusi na dioamplox 500 imeandikwa kwenye zambarau kwa mzunguko.
DIOGLY®
UTAMBUZI: Kidonge cha duara chenye rangi ya njano, na mstari upande mmoja na maneno ya GOT na DIOGYL upande mwingine
DIOMOX ®
MAELEZO Vidonge vya maroon/manjano ukubwa ‘2’ vyenye CHEMBE nyeupe na Diomox-250mg.
DIOTRIM®
UTAMBUZI: Kidonge cheupe chenye mstari upande mmoja.
DIOPEN®
White and round with breakline one side and engraved with “Diopen” on another side. Size: 10mm
DIOMYCIN®
UTAMBUZI Kidonge cha duara chenye rangi ya waridi na kilicho benuka pande zote mbili
DIOCIPRO
UTAMBUZI Kidonge cheupe chenye umbo la mstatili kilicho na mstari upande mmoja