Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na baadhi ya viongozi wanaosimamia Kiwanda cha KPI baada ya kuwasili kiwandani humo.
Aidha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipata fursa ya kuona uzalishaji unavyofanyika katika Kiwanda cha KPI kinachozalisha aina kumi za dawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri...
Baadhi ya watumishi wa KPI wakiendelea kupakia dawa aina ya Diomycin.