DIOFLUVIN®
UTAMBUZI: Vidonge vya duara vyenye rangi nyeupe.

VIAMBATA; Kila kidonge kina Griseofulvin BP sawa na griseofulvin 500mg
MATUMIZI; Hutibu fangasi za ngozi, nywele, na kucha pale ambapo dawa za kupaka zinapokuwa zimeshindwa au hazifai