DIOAMPLOX®

Vidonge vina rangi ya zambarau na nyeusi na picha ya mama na mtoto kwenye rangi nyeusi na dioamplox 500 imeandikwa kwenye zambarau kwa mzunguko.
DIOAMPLOX®

              Kila Vidonge: Kila kidonge kina ampicillin trihydrale BP sawa na ampicillin miligramu 250 na cloxacillin sodium BP sawa na cloxacillin miligramu 250.

Inatibu uambukizo unaosababishwa na vijidudu vinavyouliwa na ampicillin na cloxacillin. Kwa mfano inatibu “actinomycosis” mfumo wa nyongo, kifua, maradhi ya moyo (endocarditis) (hasa kuzuia) homa ya matumbo (Gastro-enteritis), kisonono, maambukizo ya midomo na ya masikio.