DIOGLY®

UTAMBUZI: Kidonge cha duara chenye rangi ya njano, na mstari upande mmoja na maneno ya GOT na DIOGYL upande mwingine
DIOGLY®

VIAMBATA:Kila kidonge kina Metronidazole BP sawa na Metronidazole 200mg

MATUMIZI:Hutibu magonjwa mbali mbali yanayo sababishwa na amiba, bacteria, giardia,