DIOMOX ®
MAELEZO
Vidonge vya maroon/manjano ukubwa ‘2’ vyenye CHEMBE nyeupe na Diomox-250mg.

MATUMIZI
Vidonge vya Amoxicillin ninaweza kutumika katika tiba ya magonjwa yafuatayo kwa watoto na watu wazima Acute bacterial sinusitis, Acute otitis media, Acute streptococcal tonsillitis and pharyngitis, Acute exacerbations of chronic bronchitis, Community acquired pneumonia, Acute cystitis, Asymptomatic bacteriuria in pregnancy, Acute pyelonephritis, Typhoid and paratyphoid fever, Dental abscess with spreading cellulitis, Prosthetic joint infections, Helicobacter pylori eradication, Lyme disease.