DIOMYCIN®
UTAMBUZI
Kidonge cha duara chenye rangi ya waridi na kilicho benuka pande zote mbili

UTAMBUZI
Kila kidonge chenye rangi ya waridi kina Erythromycin stearate BP sawa na erythromycin stearate 250 mg.
MATUMIZI
Erythromycin inatumika kama mbadala pale ambapo penicillin haiwezi kutumika kwa wagonjwa katika mfumo wa upuaji, nimonia,kaswende, urethritis, pertussis, n.k