DIOTRIM®
UTAMBUZI: Kidonge cheupe chenye mstari upande mmoja.

UTAMBUZI
Kila kidonge kina Sulphamethoxazole BP na trimethoprim BP sawa na sulphamethoxazole 400 mg na trimethoprim 80 mg.
MATUMIZI
Inaweza ikatumika kutibu tezi na maambukizi ya paratyphoid, matatizo ya shingella ambayo hatibiki na Amoxicillin, vamizi ya wadudu wa salmonella, maambukizi ya mifupa ya H.influenzae, maambukizi ya mfumo wa mkojo,sinusitis, matatizo sugu ya mfumo ya upumuaji, na kisonono kwa wagonjwa wenye mzio na Penicillin