PARADICLO®
UTAMBUZI
Kidonge cheupe chenye mstari upande mmoja

UTAMBUZI
Kila kidonge kina diclofenac sodium BP na paracetamol BP sawa na diclofenac 50 mg na paracetamol 500mg.
MATUMIZI
Paradiclo hupunguza maumivu makali na ya kawaida ya kichwa na viungo pia hutuliza maumivu yanayosababishwa na magonjwa kama baridi yabisi, hedhi, maumivu ya misuli, maumivu ya meno. Pia paradiclo hutumiwa kushusha homa kali.