Namna ya kuagiza dawa KPI
18 May, 2022
Kuanzia sasa Kiwanda chetu Cha Dawa kitakuwa kinaagiza dawa kwa kutumia mifumo yetu ambayo inaendelea kutengenezwa na itakuwa inapatikana kwenye tovuti ya KPI.
Utaratibu tunaoutumia kwa sasa unawasiliana na mtu wa manunuzi ambaye namba zake za simu zipo kwenye tovuti yetu kwa ajili ya maelekezo zaidi.