Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Bw.Mavere Ali Tukai akipewa maelekezo na Mfamasia wetu Macdonald Mariki kuhusiana na uzalishaji wa dawa KPI.
17 May, 2022
09:30-12:00
DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Mfamasia Mavere Ali Tukai alitembelea kiwanda cha Dawa cha Keko na kupewa maelekezo na Mfamasia Macdonald Mariki kuhusiana na uzalishaji wa dawa unavyofanyika KPI.