Makabidhiano
17 May, 2022
09:30AM - 10:30AM
KEKO PHARMACEUTICAL INDUSTRIES (1997) LTD
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya KPI Bw.Kayobyo Majogoro(Kaimu Naibu Kamishina Operesheni) akipokea nyaraka za makabidhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya mpito Bw. Xavier Daudi Naibu Katibu Mkuu