Waziri wa Afya wa Zanzibar aipongeza KPI
17 May, 2022
10:30 AM-12:30 PM
KPI- DAR ES SALAAM

Mhe. Nassor Ahmed Mzrui Akipokea maelezo kuhusu dawa kutoka kwa Mtaalamu wa Kiwanda cha KEKO PHARMACEUTICAL INDUSTRIES - KPI wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichoko Keko Jijini Dar es Salaam