Pongezi

26 Nov, 2025
Pongezi

Pongezi kwa Mhe.Dkt. Florence Samizi kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri wa Afya, tunakutakia utendaji mwema katika majukumu yako.