SERIKALI YATOA KIBALI CHA AJIRA ZA WATUMISHI 1650 KWA VITUO VYA KUTOA HUDUMA ZA AFYA CHINI YA UENDESHAJI WA MOJA KWA MOJA WA WIZARA YA AFYA

18 May, 2022 Pakua

Wizara ya Afya imepata kibali cha ajira 1650 za Wataalamu wa kada mbalimbali za Afya ambao wataajiriwa na kupangiwa vituo vya kazi ambavyo vipo chini ya uendeshaji wa moja kwa moja wa Wizara ya Afya